Habari Na Matukio
JESHI LA POLISI LAPIGA 'STOP' USAFI OFISI ZA CUF
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kitendo cha wanachama wa CUF kukusanyika kutoka maeneo mbalimbali kwa kigezo cha kufanya usafi kinaweza kusababisha uvunjifu wa amani atakethubutu kujitokeza atachukuliwa hatua...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
UMUHIMU WA MAONYESHO YA KIBIASHARA KWA KAMPUNI YAKO
Na Mwandishi Wetu.Wafanyabiashara wengi wamekuwa wazito kujihusisha kwenye maonyesho ya kibiashara kutokana na kuhofia gharama kubwa za ushiriki. Wapo sahihi kwa kiasi fulani kwani ili ushiriki lazima kuna gharama zitakazohitajika kama vile; ada ya kiingilio, kuwapatia mafunzo wa...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Picha: Muonekano mpya wa Diamond, Yes Or No?
Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava wanaopenda fashion. Muimbaji huyo ameamua kubadilisha muonekano wa nywele zake kwa kuirudia style ya zamani ambayo mashabiki walikuwa wameizoea.
Hitmaker huyo wa ‘Marry You’, wikiendi hii atatumbuiza katika show yake nchini Z...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Fahamu: Masoko yanayoongoza kutembelewa Dar es Salaam
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Dar es Salaam una idadi ya wakazi 4,364,541, ambapo kati yao wanaume ni 2,125,786 na wanawake ni 2,238,755. Huku ikiwana wilaya tano ambazo ni; Ilala,Temeke,Kinondoni,Kigamboni na Ubungo.
Katika Mkoa wa Dar, kuna masoko kadhaa yanayotem...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Jaguar to contest for MP seat
 It’s crunch time in the Kenyan politics as leaders from the different counties do their best to solicit votes at the nomination level with hopes that they shall win.
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.