Jiachie
WAZIRI LUKUVI AMSIMAMISHA MUWEKEZAJI WA MKONGE MKOANI TANGA.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wakazi wa kata ya Mnazi wilaya ya Lushoto mkoni Tanga waliozuia msafara wake na kumpa malalamiko kuhusu mashamba matatu yaliyotelekezwa na mmiliki wa mashamba hayo bila kuendelezwa na kusababisha migog...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Tunahubiri Injili kupitia muziki- Madam Frola
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Madam Frola amefunguka kuwa muziki wa Injili umesaidia watu kuokoka.
Akiongea na Bongo5, amesema wanachokifanya wasanii wa Injili ni kumtukuza Mungu na wanatumia Muziki huo kuhubiri Injili.
“Tunacho kifanya sisi ni tunaihubiri Injili...
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA CHALINZE
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe akisisitiza jambo wakati wa ziara yake  ya kukagua hatua iliyofikiwa katika mradi wa ukarabati  na upanuzi wa mtambo wa maji chalinze na na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki yakuhifadhia maji. Kulia...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Vanessa Mdee kuhusu Jux, ‘alikuwa na vitabia vya ajabu ajabu’
Baada ya kutemana na mpenzi wake Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amesema sababu kubwa ya kuachana na Jux ni kutokana na tabia zake ndogo ndogo ambazo aliona kwa baadae zingemuumiza zaidi.
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee amesema alikuwa anamtumia meseji asubuhi na anaona u...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Daily News
JPM warns defiant fuel dealers
PRESIDENT John Magufuli has added weight to the ongoing Electrical Fiscal Petrol Printers(EFPPs) crackdown, issuing a 14-day ultimatum to owners of petrol stations countrywide to ensure that they fit their pumps with the gadgets or risk losing their businesses.
Views : 0. Votes : 0. Shares : 0.