Mwananchi
Ahadi za JPM zitatimizwa-Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi kwamba ahadi zote zilizotolewa na Rais Dk John Magufuli katika maeneo mbalimbali nchini zitatekelezwa hivyo amewaomba wananchi waendelee kuiamini na kushirikiana na Serikali yao.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Tumeghaili hatuendi nje, tutaweka kambi mikoani – Yanga
Uongozi wa klabu ya Yanga umesitisha mpango wa kuipeleka timu hiyo nchini Zambia kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wake wa ngao ya hisani  dhidi ya Simba na maandalizi ya msimu mpya ujao na badala yake wataweka kambi mikoani.
Kikosi cha Yanga kikijifua na mazoezi ya Gym kwa ajili...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Daily News
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
USAJILI: Yanga SC yapata mbadala wa Msuva
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara klabu ya Yanga imemsajili winga wa kimataifa wa Burundi, Baruan Yahya kwa mkataba wa miaka miwili na akitarajiwa kuchukua nafasi ya Mtanzania, Simon Msuva anayetimkia nchini Morocco.
Winga wa kimataifa wa Burundi, Baruan Yahya
M...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Mr T Touch: Ni vigumu kuwaepuka P Funk na Master Jay
Prodyuza Mr T Touch amedai ni vigumu kuyaepuka majina ya maprodyuza wakongwe, P Funk na Master Jay katika historia ya Bongo Flava hata akitokea prodyuza yeyote akafanya mambo makubwa zaidi.
Touch amesema si kwamba maprodyuza wa sasa hawafanyi kazi nzuri ya kuweza kupata heshima k...
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
DED wa Songwe chupuchupu atumbiliwe na Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempa miezi miwili kuanzia leo (jana) Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Songwe, Bw. Elias Nawera abadili mwenendo wake kiutendaji na ashirikiane vizuri na Mkuu wa wilaya hiyo Bw. Samwel Jeremiah.
Amesema Serikali ya awamu ya Tano inawataka watumi...
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.