Bongo 5
Picha: Mama Zari azikwa, Diamond ashiriki A-Z
Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan aliyefariki dunia Alhamisi hii asubuhi, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa hospitali amezikwa Ijumaa hii katika Kitongoji cha Munyonyo, Kampala.Diamond akiwa katika mazishi hayo.
Kifo cha mama Zari ambaye ali...
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Diamond aomboleza msiba wa mama Zari
Mwanamuziki Diamond amemfariji mkewe Zarina Hassan ‘Zari’ baada ya kuondokewa na mama yake, Halima Hasssan aliyefariki dunia jana Alhamisi asubuhi.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
CAF yampa ulaji Muhsin Rajab kuisimamia Uganda dhidi Sudan ya Kusini CHAN
Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF” limemteuwa Mkufunzi wa waamuzi kutoka Zanzibar Muhsin Ali Rajab ‘Kamara’ kusimamia mchezo wa kufuzu CHAN kati ya Uganda Cranes dhidi ya wageni wao Sudan ya Kusini.
Mkufunzi wa waamuzi kutoka Zanzibar Muhsin Ali Rajab ‘Kamara’
Hii itakuwa ni...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
DJ Choka Music
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Kevin Hart adaiwa kuchepuka
Mchekeshaji kutoka Marekani Kevin Hart amedaiwa kuchepuka na kumsaliti mke wake Eniko Parrish ambaye ni mjamzito.
Kwa mujibu wa mtandao wa Radar.com, Kevin alitumia muda wa dadkika 20 akiwa na mwanamke anayedaiwa kuwa ndio mchepuko wake katika gari aina ya Lexus. Chanzo cha habar...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.