Mwananchi
Vigogo watatu wawekewa X Dar
Nyumba tatu za vigogo zilizopo eneo la Mbezi kwa Msuguri na Mbezi kwa Yusufu zimewekewa alama ya X kwa lengo la kubomolewa ili kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro inayoanzia Mbezi hadi Kiluvya.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Simba SC kuanza kutoa elimu kwa mashabiki wake leo
Jumatano hii uongozi wa klabu ya soka ya Simba SC umepanga kuanza kutoa semina kwa mashabiki wake kuhusu kujenga uelewa mpana zaidi juu ya muundo mpya wa klabu hiyo.
Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano wa timu hiy Haji Manara ametoa taarifa hiyo kuwa semina hiyo itafanyika...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Vodacom trading off to a slow start at DSE
Vodacom Tanzania started its first day of trading on a lacklustre note yesterday as its share price increased by only 5.88 per cent against expectations that the firm’s listing would stimulate the stock market.
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Daily News
Hands off surveyed village land
THE government, yesterday, banned local government leaders from splitting up villages which have been surveyed and granted with village land certificates.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
NAIBU WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TEMESA
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani katikati (aliyevaa suti) akimsikiliza Mkuu wa Kivuko/ Magogoni Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe wakati akimpa taarifa ndani ya chumba cha kuongozea kivuko cha MV. KAZI alipotembelea kujionea utendaji kazi...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Mfanyabiashara kizimbani kwa kukutwa na sare za jeshi
Casto Onyomolile Ngogo (35) mfanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shtaka la kukutwa na suruali 5,000 za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Wankyo Simon kw...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.