Mwananchi
Bajeti ilivyopita na vimbwanga bungeni
Haikuwa lelemama kuipitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha. Wapo wabunge waliojichanganya, huku mzozo wa muda mfupi ukimtoa ukumbini Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Mazingira ya albamu hatujayatengeneza – Belle 9
Msanii wa Bongo Fleva, Belle 9 amedai mazingira ya wasanii kuuza albamu bado hayajatengenezwa.
Muimbaji huyo wa RnB ameeleza ujio wa kuuza nyimbo katika mtandao huenda ukapoteza utamaduni wa watu kununua albamu hata pale zitakaporejea.
“Kiuhalisia mazingira ya albamu hatujayateng...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
RAIS DKT MAGUFULI AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA MKOA WA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Juni, 2017 amefuturisha wananchi wa mkoa wa Pwani na kuwataka waumini wa dini ya Kiislam na madhehebu mengine kuendeleza umoja na mshikano uliopo kwa muda mrefu kwa lengo la kudumisha amani nchini...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
DJ Choka Music
PRESS RELEASE KARIBU MUSIC CENTER
21, JUNI 2017
Zaidi ya vijana 20 wenye vipaji vya muziki wanatarajiwa kupata mafunzo ya bure ya kukuza vipaji vyao katika uimbaji, upigaji wa ala na utayarishaji wa muziki na nyongefu katika muhula utakaoanza Mwezi Agosti mwaka huu katika kituo kipya cha muziki kinachojulikana kw...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Ujio wa Everton Bongo ni gumzo, Ommy Dimpoz awasubiri kivyake
Ni kweli ujio wa Everton ni habari nyingine kubwa ndani ya soka la Bongo kutokana na ukubwa wa klabu hiyo yenye mafanikio katika ligi kuu ya Uingereza.Ommy Dimpoz
Klabu hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya kubashiri ya SportPesa itatua nchini Julai 13 kucheza na timu ya Gor Mahia ku...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.