Mwananchi
Bomoabomoa mpya kutikisa nchi nzima
Wakati ubomoaji wa nyumba zilizo kandokando ya barabara ukiendelea, waliojenga bila ya vibali sasa wajiandae kwa ubomoaji mwingine, kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ya Wizara wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
WASHINDI WA AFYABANDO WA DROO YA TATU WAPATIKANA
Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania Dickson Leonard (katikati) akibadilishana mawazo na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki (kushoto) na Mkurugenzi mwendeshaji wa Kampuni ya Bima ya Zurich Group/ Jubilee wakati wa zoezi la kuendesha...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
RC Makonda akabidhi magari 18 kwa Jeshi la Polisi Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda Jumapili hii amekabidhi magari ya kisasa 18 kwa  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa. Magari hayo ni kati yale 26 yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa mabovu kwaajili ya kufufuliwa upya.
RC Makonda...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Daily News
Views : 0. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Watanzania wote wajiandae – Mhe. Tundu Lissu
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chadema, Mhe. Joseph Mbilinyi amesema ameagizwa na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu kuwaambia Wanambeya pamoja na Watanzania kiujumla kuwa wajiandae.
Mhe. Mbilinyi kushoto na Mhe. Msigwa kulia mapema juzi walipomtembelea Mhe. Tu...
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.