DJ Choka Music
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Barabara ya Morocco – Mwenge kuwa na njia zaidi ya nane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli ameishukuru Japan kwa kutoa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi jijini Dar es Salaam ikiwemo upanuzi wa barabara ya Mwenge – Morocco utakaoiwezesha barabara hiyo kuwa na zaidi ya njia nane.
Rais M...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
Messi, Ronaldo wakutanishwa ‘uso kwa uso’ na UEFA
Washambuliaji wa klabu za Real Madrid na Barcelona, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wamekutanishwa na Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kwenye  orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani humo.
Kupitia mtandao wa UEFA jina la tatu kwenye orodha hiyo...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Daily News
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
The Citizen
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Wananchi watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya
Na Robert Hokororo, Kishapu DC.Wananchi wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya (CHF) iliyoboreshwa ili wapate huduma na kuboresha afya zao na hivyo kuweza kushiriki shughuli mbalimbali za uzalishaji.Wito huo ulitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kangese wakati...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Bongo 5
African Lyon yaifikisha Yanga SC kwa ‘Pilato’
Klabu ya soka ya African Lyon imeitaka Yanga SC iwalipe fidia baada ya kumsajili golikipa wake raia wa Cameroon, Youthe Rostand.
Dar es salaam Young Africans imemsajili kipa huyo kama mbadala wa kipa wao ambaye ni chaguo nambari moja, Deogratius Munish aliyeamua kwenda kucheza so...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.