By Habari Na Matukio
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 24, 2019.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omary Mgumba leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa haki za watoto zinalindwa ikiwemo kuwalinda...
Views : 24. Votes : 0. Shares : 0.