By Habari Na Matukio
Na Amini Mgheni.
Ndio, wakati umefika wa vijana wa Tanzania sasa, tuongezeke kuvuka mipaka kwa wingi katika taaluma mbalimbali na kushika hatamu katika uchumi wa Afrika na hatimaye dunia.
Nasema hivi kwa kuwa sasa nawaona wapo vijana wa Tanzania ambao sasa wameonesha uwezo mkubwa katika kuendesha makampuni makubwa, sasa waanze kuvuka mipaka na kuondoka kwenye kuongoza makapuni makubwa Afrika na nje ya Afrika ilitushindane katika medani za kimataifa na kulitangaza taifa katika uwezo wa vijana na...
Views : 29. Votes : 0. Shares : 0.