By Habari Na Matukio
 Katibu Tawala (RAS) Mkoa wa Iringa, Happynes Seneda (katikati waliosimama mstari wa mbele),akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wafanyabiashara Masokoni wa jijini Dar es Salaam waliokuwa katika ziara ya mafunzo na kuwahamasisha wanawake wenzao wa mkoa huo kujiunga na Umoja wa Kitaifa mjini humo mwishoni mwa wiki. Ziara hiyo iliandaliwa na Shirika la Equality for Growth (EfG) kwa Ufadhili wa Ubalozi wa Uingereza.
Ofisa Biashara Biashara wa Manispaa ya Iringa , Benjamin Nyigu (katikati walios...
Views : 26. Votes : 0. Shares : 0.