By Habari Na Matukio
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya anayetengeneza kundi la Wasafi Classic (WCB) Nasib Abdul a.k.a Daimond Platinum akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kuanza kwa Tamasha la Wasafi linalotarajia kufanyika hivi karibu katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania.
Meneja wa Msanii Diamond Platinum Hamis Tale Tale a.k.a Babu Tale akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Wasafi litalotarajia kufanyika hivi karibuni.
Meneja wa Msanii Diamond Platinum, Said Fela akizungumza wakati wa uzinduzi wa...
Views : 30. Votes : 0. Shares : 0.