By Mwananchi
Jaji Kiongozi wa Tanzania, Dk Eliezer Feleshi ametoa waraka maalumu wenye maelekezo yanayolenga kufanyia kazi maelekezo ya Rais wa nchi hiyo, John Magufuli kuhusu kukabiliana na tatizo la msongamano wa mahabusu katika magereza.
Views : 26. Votes : 0. Shares : 0.