By Habari Na Matukio
 Katibu Mkuu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Mussa Kabimba, akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya mashine maalum ya kutibu magonjwa ya saratani kwa mionzi. Hafla hiyo imefanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha walemavu wa ngozi nchini, Godson Mwoleli,(wa pili kushoto) akimkabidhi Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dk.Angelina Lutambi (wa pili kulia), mashine maalumu kwa ajili ya matibabu ya saratani kwa n...
Views : 32. Votes : 0. Shares : 0.