By Habari Na Matukio
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb.) kuhudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa SADC, unaotarajiwa kufanyika kesho katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijinin Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Sh...
Views : 30. Votes : 0. Shares : 0.