By Habari Na Matukio
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Rufaa, Tanzania imetupilia mbali maombi ya marejeo ya hukumu ya aliyekuwa Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Mrakibu wa polisi, Christopher Bageni aliyekuwa amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua wafanyabiashara wanne wa madini kutoka wilaya ya Mahenge Mkoani Morogoro.
Kwa uamuzi huo ambao ndio wa mwisho, sasa Bageni hana namna nyingine ya kufanya kwani hakuna ngazi nyingine ya mahakama nchini wala hatua nyingine...
Views : 38. Votes : 0. Shares : 0.