By Jiachie
Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Innocent Mungi akipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa Tigo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo wakati wa mkutano wa mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (Sadc).Kampuni ya Tigo imedhamini mkutano huo kwa kutoa huduma ya intaneti bure. Mshereheshaji maarufu nchini katika shughuli za kiserikali, Peter Mavunde akipatiwa huduma kutoka kwa wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakati wa Mkutano...
Views : 55. Votes : 0. Shares : 0.