By Jiachie
Na.Vero Ignatus,ArushaWashtakiwa watano wanaokabiliwa na KESI ya utakasaji fedha na uhujumu uchumi, akiwemo Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha Bernad Nganga ,Mwanasheria wa hifadhi za Taifa (TANAPA)Maneno Mbunda na mwanasheria wa serikali Fortunatus Mhalila imezidi kupigwa kalenda kwa sababu ya kusubiri jalada kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP).Akiomba kuahirishwa kesi hiyo jana septemba 17 mbele ya Hakimu Rose Ngoka wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha,Wakili wa Serikali Eliainen...
Views : 29. Votes : 0. Shares : 0.