By Jiachie
Mtaalamu wa Kidigitali kutoka Tigo, Ikunda Ngowi,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)katika uzinduzi wa promosheni ya EAGT Trivia ambayo ni sehermu ya matumizi ya Kidigitali ya Tigo katika mkakati wake katika uzoefu kutoa huduma bora na zenye viwango vya hali ya juu kwa wateja wa Tigo.Kulia kwake ni Mratibu wa mradi wa EAGT Redemptus Caesar, Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya Tigo Jijini Dar es salaam. Mratibu wa mradi wa EAGT Redemptus Caesar, akifafanua jambo kwa waandishi wa...
Views : 32. Votes : 0. Shares : 0.