By Jiachie
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anatoka kwenye jengo la kituo cha afya Mkuyuni, baada ya kukagua ujenzi wa kituo hicho, katika Wilaya ya Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Mkuyuni, wilayani Morogoro, Septemba 18.2019.
Wananchi wa Mkuyuni, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wilayani Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Injinia, Godfrey Mlowe (kulia)...
Views : 36. Votes : 0. Shares : 0.