By Habari Na Matukio
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said.
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda ametoa tuzo na zawadi mbalimbali kwa wanafunzi, na walimu ambao shule zao zilifanya vizuri kwenye mitihani ya taifa ya elimu ya msingi na sekondari mwaka 2018 katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya maonesho ya biashara Sabasaba jijini Dar es Salaam Septemba 21, 2019.
Sambamba na zawadi hizo, Mhe. Makonda pia ameahidi kutoa ofa kwa walimu 30 wa jiji la Dar es Salaam wakiwa na wenza wao kwenda kwenye mbuga ya wanyama...
Views : 17. Votes : 0. Shares : 0.