By Habari Na Matukio
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambae pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bambare wilayani Kondoa, ambapo wananchi hao walimuomba awasaidie mabati ili kuweza kukamilisha ujenzi wa madarasa kijijini hapo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kondoa, Dodoma Alhaji Othman Gora akiwasalimia Wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kati ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambae pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini Mhe. Dkt. Ashatu Ki...
Views : 15. Votes : 0. Shares : 0.