By Jiachie
 Maandamano ya burudani yakiingia Uwanja wa Uhuru katika Tamasha la Jamafest linalofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 21-28 September 2019 
 Matembezi ya Burudani yakielekea uwanja wa Uhuru katika Tamasha la Jamafest linalofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 21-28 September 2019  Jukwaa la burudani litakalotumiwa na wasanii mbalimbali katika Tamasha la Jamafest linalofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia tarehe...
Views : 23. Votes : 0. Shares : 0.