By Jiachie
Wafanyakazi wa benki ya NMB tawi la Sengerema mkoani Mwanza nao walishiriki katika kufanya usafi kwenye mji huo.Wafanayakazi wa benki ya NMB tawi la Kalius mkoa wa Tabora nao walishiriki katika kufanya usafi kwenye mji huo
Katika kuadhimisha siku ya usafi duniani wafanyakazi wa benki ya NMB wameshiriki kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini kote, tazama matukio ya picha katika mikoa na maeneo mbalimbali zikionesha wafanyakazi hao wakifanya usafi.Wafanyakazi wa benki ya NMB Kanda ya M...
Views : 23. Votes : 0. Shares : 0.