By Bongo 5
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva Joh Makini pamoja na kundi la Navi Kenzo wameeleza jinsi walivyojipanga kwa ajili ya kumgaragaza Msanii kutoka Nigeria Burna boy kwenye Tamasha litakalofanyika katika ukumbi wa Next door Arena Jijini Dar Es Es Salaam.
Wakiongea na Waandishi wa habari mapema leo wasanii hao wameeleza kuwa “Siku ya show watafanya kitu kikubwa sana ambapo kitapelekea Burna boy kuendelea kuikumbuka Tanzania.
Show hiyo inatarajiwa kufanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa Next door Arena...
Views : 55. Votes : 0. Shares : 0.