By Bongo 5
Kocha Unai Emery amesisitiza kuwa kitu pekee ambacho anakiangalia kwa sasa ni kuhakikisha Arsenal inafanikiwa kuchomoza na ushindi siku ya Alhamisi dhidi ya Frankfurt kwenye mchezo wa michuano ya Europa League na sio vinginevyo.
Emery kwa muda sasa amekuwa kwenye presha ya kutimuliwa kazi, hii ikiwa hasa ni kutokana na matokeo mabaya ambayo ameyapata akishinda mchezo mmoja pekee kwenye mechi nane alizoongoza Arsenal siku za hivi karibuni. Huku akitoa sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya Southampton.
Kut...
Views : 54. Votes : 0. Shares : 0.