By Jiachie
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mzee Zefania Kanoge Petro 82 ambaye anapatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Mzee Kanoge ndiye aliyemshawishi Mhe.Rais Dkt. Magufuli kuingia kwenye Siasa wakati alipokuwa akifanyakazi katika Mkoa wa Mwanza.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ya Chato wakati wakati a...
Views : 39. Votes : 0. Shares : 0.