By Jiachie
Na Chalila Kibuda, Michuzi TV ,Lindi
Wananchi wa Mkoa wa Lindi wamejitokeza katika usajili wa laini za simu kwa alama za vidole huku Wananchi hao wakipata fursa ya kupata namba za vitambulisho kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya vya Taifa (NIDA) kwa ambao walikamilisha taratibu zote za mamlaka hiyo.
Akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Katibu Tawala Msaidizi Dkt.Bora Haule amesema kuwa mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ihakikishe inaongeza nguvu ya usaji...
Views : 19. Votes : 0. Shares : 0.