By Mwananchi
Mbunge wa Misungwi (CCM) mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Charles Kitwanga ni kati ya viongozi waliopata fursa ya kusalimia wananchi wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.