By Bongo 5
Mhubiri Elisha Misiko wa kanisa la Ground for Jesus, lililoko mjini Mombasa nchini Kenya, amemuua mke wake kwa kumchoma na kisu na kisha yeye kujikata koo lake na kufariki papo hapo, wakati wa ibada ya Jumapili ikiendelea kanisani hapo.
Tukio hilo limetoa leo Januari 5, 2020, ambapo kwa mujibu wa waumini wa kanisa hilo wamesema kuwa mhubiri huyo alitekeleza unyama huo kwa haraka sana na kwamba juhudi za kuwanusuru wawili hao hazikuzaa matunda.
Kwa upande wake Kamanda wa Polisi wa eneo la Kisauni...
Views : 32. Votes : 0. Shares : 0.