By Habari Na Matukio
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi, akiwahutubia watumishi wa Umma wa mkoa wa Singida leo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akiangalia jinsi mkorosho wa miaka 2 ulivyotoa korosho katika shamba la pamoja (block farming) wilayani Manyoni alivyotembelea Mkoa wa Singida hivi karibuni. Mhe. Majaliwa alipongeza ubunifu huu uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Singida ambapo hadi sasa takribani hekta 12000 zimepandwa mikorosho na hakuna mkoa wowote...
Views : 55. Votes : 0. Shares : 0.