By Jiachie
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Promosheni ya kishindo cha Funga Mwaka na Tigo , Mara baada ya kukabidhiwa hundi zao mapema leo.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha akizungumza na waandishi wa habari . katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa promosheni ya Kishindo cha Funga Mwaka na Tigo.
“Tunapenda kuwashukuru sana wateja wetu wote ambao walishiriki kwenye promosheni hii lakini kwa leo tumeweza kuwapata washindi wa...
Views : 60. Votes : 0. Shares : 0.