
Tamasha lilipangwa kufanyika Ijumaa Oktoba 30, 2020 na ratiba ilionyesha kuwa msanii Diamond Platnumz alitakiwa kupanda jukwaani siku iliyofuata Jumamosi lakini kutokana na mvua kubwa kunyesha alishindwa na badala yake alitumbuiza Jumapili ya Novemba mosi, 2020.