By Mwananchi
Mchakato wa kumpata rais wa Marekani unaelekea ukingoni huku Joe Biden, anayegombea kwa tiketi ya Democratic, akielekea kushinda baada ya kupata kura 264 za uamuzi dhidi ya 214 za mpinzani wake na rais wa sasa, Donald Trump. Mgombea atakayefikisha kura 270, ataingia ikulu ya Whitehouse.
Views : 81. Votes : 0. Shares : 0.