By Mwananchi
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC), zimeungana kwa ajili ya kuwarahisishia mashabiki wa soka kununua tiketi kwa njia ya TigoPesa katika michezo itakayochezwa Uwanja wa Uhuru na Mkapa, Dar es Salaam.
Views : 74. Votes : 0. Shares : 0.