By Mwananchi
Fatma ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa awamu ya Sita ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Aman Abeid Karume, aliondolewa katika orodha ya mawakili wa kujitegemea na kamati ya maadili ya mawakili baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukiuka maadili ya taaluma.
Views : 103. Votes : 0. Shares : 0.