By Habari Na Matukio
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akikatiza kwenye moja ya nyumba iliyozingirwa na maji,wakati wa ziara yake ukaguzi wa athari za mafuriko, ambapo amesema serikali imeanza kukarabati miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ikiwemo Madaraja,Barabara,Mito na Mifereji.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na baadhi ya watu waliothiriwa na na mafuriko kufuatia mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar. RC Makonda amefanya ziara ya yake ya...
Views : 47. Votes : 0. Shares : 0.