By Habari Na Matukio
  Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu (mwenye hijab mbele), akizunhgumza baada ya zoezi la kuwasha umeme kwenye vijiji vya Muhoro Mashariki na Magharibi wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo Mei 22, 2019. Takriban Kata 26 zimefaidika na zoezi hilo.
 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (aliyesimama), akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika vijiji vya Muhoro Masharki na Magharibi iliyofanyika shule ya msingi Nyampapu wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo Mei 22, 2019. Mweny...
Views : 21. Votes : 0. Shares : 0.