Maalim Seif ampeleka Dk Mwinyi ZEC

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama hicho kimewasilisha barua kwa kamati ya maadili ya uchaguzi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar ( ZEC) kikitaka mgombea wa CCM Dk Hussein Mwinyi achukuliwe hatua kwa kiuka maadili...