Aliyekuwa mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na mgombea mwenza Profesa Omar Fakih wameachiwa kwa dhamana.
Vilevile katika jimbo jingine la Kyela mkoani Mbeya, chama tawala pia kimeibuka kidedea kwa nafasi ya udiwani baada ya kushinda kata 32 kati ya 33 jmboni humo, wakati Chadema imeshinda kata moja, amethibitisha haya Msimamizi Mkuu wa Uchunguzi Jimbo la Kyela Ezekiel Magehema alipo...
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mtwara Vijijini, Erica Yegella amemtangaza Shemsia Mtamba kupitia CUF kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 28, 2020 baada ya kupata kura 26,215 huku Hawa Ghasia wa CCM akipata kura 18,564.
Singida. Mwigulu Nchemba wa CCM, ametetea kiti chake cha ubunge jimbo la Iramba Magharibi kwa kupata kura 38,675. Mwigulu amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2010.
Matokeo ya ubunge yanayoendelea kutangazwa leo Alhamisi Oktoba 28, 2020 yanaonyesha wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuibuka na ushindi katika majimbo mengi.