Habari Na Matukio
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
RAIS DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahudumu wa ndege iliyomchukua baada ya kuteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam asubuhi leo Ijumaa Julai 19, 2019 akitokea jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.C...
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
AIR TANZANIA YATUA MUMBAI, INDIA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akiwa ndani ya ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
WATEJA WATANO WA TIGO KUSHUHUDIA FAINALI ZA AFCON NCHINI MISRI
 Meneja Mawasiliano wa Tigo , Woinde Shisael (Kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akitangaza washindi 5 wa tiketi za kwenda kushuhudia mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika nchini Misri kupitia promosheni ya SOKA LA AFRICA inayoendeshwa na kampu...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA STUDIO YA MSANII BARNABA BOY
Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy ( kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) wakati naibu waziri huyo alipokwenda kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo H...
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
MKUTANO MKUU WA 13 WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO AFRIKA KUFANYIKA DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Korosho Barani Afrika, Ernest Mintah (kulia) akifafanua jambo na wanahabari juu ya mkutano mkuu wa 13 wa wadau wa Korosho Afrika unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Korosho Barani Afrika, Ernest Mintah (kul...
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.