Habari Na Matukio
AMDT YAWAJENGEA UWEZO WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Biashara Oliver Vengula akizungumza na wakuu wa wilaya, wakurugenzi na maafisa biashara wa mikoa ya Singida na Manyara juu ya mwongozo mpya wa uendeshaji wa Mabaraza ya biashara, wakati wa warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo watendaji h...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
TPDC YAONGEZA MTEJA MPYA WA VIWANDANI
Meneja wa Biashara za Gesi, Mhandisi Dora Ernest (kulia) akimpatia mkataba wa makubaliano kwa Mkurugenzi wa Shreeji Silicates Tz Ltd, Bw. Mukkasa Giridhar Rao (kushoto)  ambapo amesema kutumia gesi asilia wataweza kuokoa asilimia 30% ya gharama za uzalishaji ambazo wamekuwa wakit...
Views : 13. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
KATIBU MKUU WA TAGCO AWAPONGEZA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI
KATIBU Mkuu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw, Abdul Njaidi, (wapili kushoto), akiwa na Meneja Msaidizi Uhusiano na Itigfaki, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Vicky Msina (watatu kushoto), Meneja Kiongozi Uhusioano na Elimu kwa Umma, Mfuko wa Taifa wa Hifad...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
RAIS MUSEVENI WA UGANDA KUTUA KESHO KWA RAIS DKT. MAGUFULI CHATO
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kesho Jumamosi tarehe 13 Julai, 2019 atafanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini.
Mhe. Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wila...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
BALOZI SEIF AITAKA TANTRADE KUIMARISHA MITANDAO YA BIASHARA TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya kufunga Manoesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo Alhamisi (Julai 11, 2019).
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Ma...
Views : 4. Votes : 0. Shares : 0.