Bongo 5
Cristiano Ronaldo ndio mcheza soka anae ingiza mkwanja mrefu
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametajwa kuwa ni mchezaji aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani na jarida la France Football, huku Messi akiwa katika nafasi ya pili kwa msimu wa 2016-17.
Ronaldo tayari ameingiza kitita cha pauni milioni 75.62 na amempiga bao...
Vus : 0. Votes : 0. Partages : 0.
 
The Citizen
Vus : 1. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA
 Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante ole Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na wakati waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisal...
Vus : 1. Votes : 0. Partages : 0.
 
Bongo 5
Heshima aliyonipa Mheshimiwa Rais ni kubwa mno – Nape
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnaye amemshukuru Rais Dkt John Magufuli kwa kumuamini na kumpa thamani kubwa kusimamia wizara hiyo kwa miezi 15 huku akisema heshima aliyompa ni kubwa mno.
Mheshimiwa Nape ambaye ni mbunge wa Mtama ameyasema hayo waka...
Vus : 0. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
MKUU WA WILAYA YA CHEMBA AZINDUA ZOEZI LA UTHAMINI
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Ndugu Simon Ezekiel Odunga akizungumza na wananchi wa kata ya Farkwa wakati wa uzinduzi wa zoezi la uthamini mali ili kupisha ujenzi wa bwawa la Farkwa.Mkuu wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma akiongozana na baadhi wa Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama...
Vus : 0. Votes : 0. Partages : 0.
 
Mwananchi
Makada 431 wa CCM kuwania ubunge Eala
Harakati za kuwania ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) zimepamba moto mjini hapa ambapo jumla ya makada 431 kutoka chama kimoja wamejitokeza kuwania nafasi hizo.
Vus : 2. Votes : 0. Partages : 0.
 
Daily News
Vus : 5. Votes : 0. Partages : 0.