Par Bongo 5
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewataka waislamu ambao wanawafturisha waislamu wenzao waliofunga kufuata taratibu za dini na kuacha kufanya mambo ambayo yapo kinyume na taratibu.
Ameyasema hayo Jumapili hii katika Mashindano ya Kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika Diamond Jubilee ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Katika Iftar ya Harmonize iliyofanyika wiki iliyopita, alifanya show ya kutambulisha wimbo wake mpya wa kidunia ambapo wasanii kadhaa wa WCB akiwemo D...
Vus : 8. Votes : 0. Partages : 0.