Par Jiachie
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Dkt. Mary Mashingo (katikati) akimkabishi mfano wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Charles Singili (kulia) mara baada ya kuuzindua mkataba huo. Uzinduzi huo umefanyika katika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya TIB.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Dkt. Mary Mashingo (kushoto) akimkabidhi nakala ya mfano wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja (Customer Service Charter) B...
Vus : 27. Votes : 0. Partages : 0.