Par Bongo 5
Ikiwa ligi mbalimbali zimemalizika kwa sasa duniani kote, kinachuzungumzwa katika vinywa vya wapenda soka ni tetesi za usajili kwa baadhi ya timu kuwasajili wachezaji wapya na kuongeza kandarasi kwa wale wazamani ambao muda wao unakaribia kumalizika.
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Tv1 Tanzani, viongozi wa TP Mazembe wapo jijini Dar es Salaam wakitafuta saini za wachezaji watatu kutoka Tanzania ambao ni Mohamed Hussein (Simba), Feisal Salum (Fei Toto-Yanga) na kinda Kelvin John ‘Mbappe’. Kla...
Vus : 33. Votes : 0. Partages : 0.