Par Green Waves Media
Beki wa Bodaboda FC, akipiga mpira kwakichwa kuokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na Kitinye FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kitinye iliibuka na ushindi wa 2-1. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Bodaboda FC akihamisha mpira katika moja ya heka heka wakati wa mchezo wao na Kitinye FC, katika  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika V...
Vus : 19. Votes : 0. Partages : 0.