Par Mwananchi
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema makabrasha wanayopewa wabunge katika kipindi hiki cha Bunge la Bajeti, yanaweza kujaa gari ndogo aina ya pickup kwa kila mbunge hivyo wanalenga kusafisha meza za wabunge
Vus : 17. Votes : 0. Partages : 0.