Par Mwananchi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetetea uamuzi wake wa kushiriki maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanzania yatakayofanyika kitaifa jijini Mwanza kesho Desemba 9, baada ya kususia kwa miaka mitatu mfululizo tangu mwaka 2016.
Vus : 21. Votes : 0. Partages : 0.