Par Mwananchi
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni nchini Tanzania, Gertrude Rwakatare ametoa ujumbe wa mwaka 2020 kwa waumini wa kanisa hilo na Watanzania, akisema ni mwaka wa mafanikio utakaowafanya wajenge nyumba zao, kuoa au kuolewa na kufanya kazi.
Vus : 16. Votes : 0. Partages : 0.